Afrika yapiga marufuku biashara ya punda, bidhaa zake
Dodoma. Marufuku ya biashara ya nyama ya punda na mazao yake barani Afrika inatarajiwa kusaidia katika kulinda na kuongeza idadi ya wanyama hao, ambao walikuwa hatarini kutoweka kufuatia kuongezeka kwa mahitaji kutika nchi za Bara la Asia. Aidha, kufuatia marufuku hiyo, Serikali ilifunga viwanda viwili vikubwa vya kuchakata nyama ya punda kwenye mikoa ya Dodoma…