Wenje ‘awatosa’ Heche, Mnyika no reforms, no election Kagera
Bukoba. Amekacha! Huo ndio usemi wa vijana wa kileo unaoweza kutumika kueleza hatua ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Kanda ya Victoria, Ezekhia Wenje kutoonekana katika mikutano ya kampeni ya chama hicho ya “No reforms, No election” inayoendelea kwenye kanda yake. Tangu jana Mei 8, 2025, viongozi wakuu wa Chadema wakiongozwa na…