Zanzibar, Msumbiji kuimarisha ushirikiano katika sekta za utalii, uvuvi na nishati
Unguja. Ziara ya Rais Daniel Chapo wa Msumbuji visiwani Zanzibar imefungua ukurasa mpya wa ushirikiano wa kimkakati kati ya Zanzibar na Msumbiji, ambao unalenga kuimarisha mahusiano ya kijirani kwa kuzingatia masilahi ya pamoja ya kiuchumi, kijamii na kitamaduni. Ziara ya siku tatu ya Rais wa Msumbiji, Daniel Chapo nchini Tanzania, iliyomalizika leo Mei 9, 2025,…