Guterres inakaribisha uchaguzi wa Papa Leo ‘wakati wa changamoto kubwa za ulimwengu’ – maswala ya ulimwengu

Utakatifu wake Papa Leo XIV – mzaliwa wa Robert Francis Prevost – ndiye mtu wa kwanza kutoka Merika kuongoza Kanisa Katoliki, ingawa pia anashikilia uraia wa Peru baada ya kufanya kazi katika nchi ya Amerika ya Kusini kwa miaka mingi. Alichaguliwa na Makardinali wakipiga kura huko Vatikani huko Roma, na baadaye akasalimia maelfu walikusanyika katika…

Read More

Dau la atakayemuona Mdude lafikia Sh15 milioni

Mbeya. Hatua ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutangaza dau la Sh10 milioni kwa atakayetoa taarifa za kupatikana kwa kada wao, Mdude Nyagali, inakuja kufuatia jitihada zinazoendelea tangu Mei 2, 2025, alipovamiwa na kushambuliwa nyumbani kwake na watu waliodaiwa kuwa ni askari polisi. Dau hilo la Sh10 milioni linaongezea na lile lililotangazwa awali na…

Read More

Nafasi ya Kuibuka Milionea Ipo Leo

NI Ijumaa nyingine tena ya kutusua kijanja na wakali wa ubashiri Meridianbet. Mechi za ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea leo, hivyo suka jamvi lako la ushindi sasa. SERIE A, Ijumaa ya leo kuna mchezo mmoja wa kukata na shoka ambapo AC Milan atamkaribisha kwake Bologna FC ambao wapo juu kwa pointi 5. Mechi ya mkondo wa…

Read More

EWURA YAZIPA LESENI LOLIONDO, UTETE,MANAWASA

        ::::::::: Kwa kipindi cha 2024/25, EWURA ilitoa leseni tatu (3) za kutoa huduma ya majisafi na usafi wa mazingira kwa mamlaka za maji za miji ya Loliondo, Utete na Masasi Nachingwea (MANAWASA).  Aidha, EWURA ilifanya tathmini na kuidhinisha bei mpya ya huduma ya maji kwa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa…

Read More

CHUO KIKUU MZUMBE CHAPONGEZWA KWA KUWAANDAA VIJANA KUJIAJIRI NA KUCHANGIA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA KUPITIA BUNIFU

Kaimu Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Mzumbe Prof. Hawa Tundui (kushoto) akikabidhi zawadi ya kumbukumbu kwa Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe (Mb.) kwenye Siku ya Mzumbe na Kambi ya Ujasiriamali ********************** Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb.), amekipongeza Chuo Kikuu Mzumbe kwa kuwatengenezea mazingira wanafunzi wa chuo…

Read More