MADIWANI CHATO WALILIA SAFARI ZA NDEGE

::::::: Na Daniel Limbe,Chato BARAZA la madiwani wa halmashauri ya wilaya ya Chato mkoani Geita,limedai kusikitishwa na ukimya wa serikali kushindwa kurusha ndege kwenye uwanja wa ndege wa mkoa wa Geita uliopo Chato hali inayosababisha unyonge na usumbufu mkubwa kwa wananchi. Mbali na wananchi, safari za madaktari Bingwa na bobezi kutoka Hospitali ya Taifa ya…

Read More

Nemc yatoa kibali kudhibiti taka za kielektroniki

Dar es Salaam. Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limetoa kibali cha kukusanya na kusafirisha taka za kielektroniki ili kuepuka madhara zinayosababisha kwenye mazingira. Kibali hicho cha kukusanya na kusafirisha taka za kielektroniki kimetolewa kwa kampuni ya WEEE Central Tanzania, ikiwa ni hatua ya kudhibiti madhara yanayosababishwa na taka hizo. Akizungumzia…

Read More

HAKUNA MKWEPA KODI ATAKAYESALIMIKA” CG MWENDA

 ::::::: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Juma Mwenda ametangaza kiama kwa Watu wanaokwepa Kodi na kutangaza Donge nono kwa watu watakaowafichua wakwepakodi na kukomboa Kodi. Ameyasema hayo wakati wa uzinduzi wa Tuzo ya Mtoa Taarifa uliofanywa na Naibu Waziri Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji leo tarehe 08.05.2025 Jijini Dar…

Read More

UNRWA inalaani ‘dhoruba’ za shule huko Yerusalemu Mashariki – Maswala ya Ulimwenguni

Kulingana na shirika hilo, wafanyikazi wenye silaha nyingi waliingia shuleni katika Kambi ya Wakimbizi ya Shu’fat Alhamisi wakati madarasa yalikuwa kwenye kikao, kulazimisha zaidi ya wasichana na wavulana 550 wa Palestina – wengine wachanga kama sita – nje ya madarasa yao. Moja Unrwa Mjumbe wa wafanyikazi alikamatwa, na shule zote zinazoendeshwa na wakala huko Yerusalemu…

Read More

Tanzania yajibu mapigo azimio la Bunge la Ulaya

Dar es Salaam. Serikali ya Tanzania imeeleza kusikitishwa na azimio la Bunge la Umoja wa Ulaya ikidai kwamba uamuzi uliofikiwa kwa kuzingatia taarifa zisizo kamili au za upande mmoja bila kuwasiliana na Serikali kwa njia za kidiplomasia. Serikali imeeleza hayo katika taarifa iliyotolewa Mei 8, 2025 na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa…

Read More