TET NA TANZANIA AI COMMUNITY KUSHIRIKIANA KUBORESHA UFUNDISHAJI KWA TEKNOLOJIA YA AI
TAASISI ya Elimu Tanzania (TET) imepanga kufanya mafunzo ya kukuza uwezo kwa wakuza mitaala na walimu nchini kwa kutumia Akili Mnemba (AI) ili kukuza ufanisi wa ufundishaji na ujifunzaji. Hayo yamebainishwa leo Mei 9, 2025 Jijini Dar es Salaam, wakati TET wakisaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa miaka mitatu na Taasisi ya Tanzania AI…