AKILI ZA KIJIWENI: Yanga haimdai chochote Hamdi
MSIMU utamalizika Juni baada ya mabadiliko ya ratiba yaliyofanywa na Bodi ya Ligi Kuu Tanzania (TPLB) hivi karibuni na mechi za mwisho za Ligi Kuu zitachezwa Juni 22. Kwa sisi hapa kijiweni kwetu hatufahamu nini kitaendelea kwa Kocha Miloud Hamdi wa Yanga ambaye muda huo atakuwa ameinoa timu hiyo kwa miezi sita tu. Labda Yanga…