KAPINGA ATAJA VIGEZO VYA ZIADA UPELEKAJI UMEME VITONGOJINI

……………………   Lengo ni kuhakikisha kila Jimbo linakuwa na vitongoji vingi vilivyofikiwa na umeme  Vinahusisha mahitaji ya kiuchumi na Kijamii, ukubwa wa Jimbo na Kitongoji   Mkurugenzi Mkuu REA atakiwa kumsimamia kwa karibu Mkandarasi wa miradi ya Vitongoji Ziwa Tanganyika Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA)…

Read More

Mdee aibua tena mgogoro wa ardhi Mbopo, waziri ajibu

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalum, Halima Mdee ‘amewaka’ bungeni akitaka Serikali ieleze hatima ya wananchi wa mitaa saba katika majimbo ya Kawe na Kibamba jijini Dar es Salaam. Mdee ametoa kauli hiyo bungeni jijini Dodoma leo Alhamisi Mei 29, 2025 wakati akichangia hotuba ya Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi kwa mwaka 2025/26….

Read More

Itifaki ya Haki za Watu wenye Ulemavu Afrika

Itifaki ya Haki za Watu Wenye Ulemavu Afrika (The African Disability Protocol – ADP) ni mfumo wa kisheria unaoshughulikia ubaguzi wa kipekee unaowakabili watu wenye ulemavu barani Afrika. Mnamo 2018, Baraza Kuu la Umoja wa Afrika lilipitisha ADP. Tangu wakati huo, Angola, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Kongo, Kenya, Mali, Malawi, Msumbiji, Namibia, Nigeria, Niger, Rwanda,…

Read More

Samia: Ilani mpya ya CCM itakuwa na mambo mazuri

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema chama hicho kitaiweka hadharani Ilani yake mpya ya 2025-2030 ambayo itanadiwa wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025. Samia amesema kuwa Ilani hiyo itazinduliwa kesho Ijumaa, Mei 30,2025 na kwamba, itasheheni mambo mazuri kwa maendeleo ya Watanzania. Ameyasema hayo…

Read More