Huu ndio umuhimu wa kuwekeza kwenye elimu ya awali

Katavi. Wakati utekelezaji wa Sera ya Elimu na Mafunzo ya Mwaka 2014 toleo la mwaka 2023 ukiendelea,  wadau wa elimu wametakiwa kushiriki kikamilifu katika kuhakikisha uwekezaji mkubwa unafanyika kwenye elimu ya awali. Hatua hiyo inalenga kutengeneza mazingira wezeshi ya kujifunzia kwa watoto ambayo yatakuwa rafiki kujifunzia, yaliyo na vifaa vya kujifunzia vinavyofaa umri wao, pamoja…

Read More

Wapigwa msasa kukuza biashara kimaarifa, kiuchumi

Dar es Salaam. Miongoni mwa mbinu za ukuaji endelevu wa biashara kwa wafanyabiashara na wawekezaji ni maarifa ya kifedha yanayochochea ukuaji huo. Ili kutekeleza hilo, Benki ya Absa Tanzania imekuja na mkutano maalumu wa asubuhi kwa ajili ya uwekezaji wenye lengo la kuwawezesha wateja wa kampuni na taasisi za kifedha kupata maarifa na suluhisho za…

Read More

Majukumu mapya kwa Pindi Chana katika urais mkataba wa Lusaka

Arusha.  Waziri wa Maliasili na Utalii, Balozi Pindi Chana amekabidhiwa jukumu la kuongoza mapambano ya kudhibiti na kukomesha uhalifu wa kimazingira unaovuka mipaka, ikiwemo biashara haramu ya nyara, wanyamapori na mazao ya misitu. Jukumu hilo limeanza leo Mei 8, 2025 baada ya kukabidhiwa rasmi jukumu la kuongoza Baraza la Uongozi la Nchi Wanachama wa Mkataba wa…

Read More

DALALI KIZIMBANI KWA KUJIFANYA TULIA ACKSON

DALALI mmoja anayeishi Kipunguni jijini Dar es Salaam, Charles Shirima amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu akikabiliwa na mashitaka 42 ikiwemo utakatishaji fedha kiasi cha Sh milioni mbili. Mshitakiwa amesomewa mashtaka yake na wakili wa serikali Michael Shindai mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu Romuli Mbuya Aprili 6,2025 Shidai amedai kuwa mashtaka ya kwanza hadi…

Read More

Leo wa XIV ndiye Papa mpya wa Kanisa Katoliki

Vatican. Kardinali Robert Prevost (69) kutoka Marekani amechaguliwa kuwa Papa mpya wa 267, ambapo amechagua kutumia jina kwenye wadhifa huo la Papa Leo wa XIV. Ametangazwa kutokea katikati ya Kanisa kuu la Vatican, tangazo limetolewa na  Kardinali Shemasi Dominique Mamberti. Hatua hiyo imefikiwa baada ya siku mbili za kupiga kura, akidi ya theluthi mbili muhimu…

Read More

MAMA MARIAM MWINYI AZINDUA ZANZIBAR AFYA WEEK

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi amesema  Maendeleo ya kijamii na kiuchumi ya Nchi yoyote yanahitaji  jamii yenye Watu wenye Afya Bora. Mama Mariam ambae pia ni Msarifu na Mwenyekiti wa Bodi ya wadhamini ya Taasisi ya Zanzibar Zanzibar Maisha Bora Foundation(ZMBF) amesema hayo alipoizindua  Zanzibar Afya Week  katika Hoteli ya Golden Tulip…

Read More

Uongozi mpya wa Chadema unavyopita katika tanuri la moto

Dar es Salaam. Tangu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kilipofanya uchaguzi wake wa ndani na kupata viongozi wapya, Januari 22, 2025, hali haijawa shwari ndani ya chama hicho kutokana na mwendelezo wa makundi. Katika uchaguzi huo uliofanyika Januari 21, 2025, Tundu Lissu aliibuka mshindi akimbwaga Freeman Mbowe ambaye amekuwa mwenyekiti wa chama hicho kwa…

Read More