WANAHABARI NA MABALOZI WA LATRA WAPIGWA MSASA
::::::: Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) inaendesha semina ya kuwajengea uwezo Wanahabari Mabalozi wa LATRA juu ya kazi na majukumu yanayotekelezwa na Mamlaka. Semina hiyo ni ya siku mbili imefunguliwa rasmi na CPA Habibu Suluo, Mkurugenzi Mkuu LATRA ambapo katika ufunguzi huo amewapongeza wanahabari hao kwa kuwa mabalozi wazuri katika ufikishaji wa habari zinazohusu…