Simbachawene: Ubunge wa safari hii nauhitaji kuliko wakati mwingine, nitafia huku
Arusha. Joto la Uchaguzi Mkuu 2025 linaendelea kupanda. Hii ni baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kusema kuwa ubunge wa safari hii anauhitaji kuliko ubunge wowote na kuwa ‘atafia’ katika harakati hizo. Amesema kuwa wakati wa uchaguzi, siyo tu vyama vya siasa vinashindana,…