Cleopa Msuya alama ya binadamu aliyeishi mbele ya wakati
Mtumishi wa umma aliyegeuka mwanasiasa. Mhusika muhimu katika ukuaji wa sekta binafsi. Kiongozi mwenye maono aliyeifanya tasnia ya fedha Tanzania ifike ngazi ya kijamii. Ndivyo unaweza kuuelezea kwa kifupi kabisa, uhusika wa Cleopa David Msuya. Mwaka 2000, Msuya alikuwa mhusika kiongozi na mbeba maono, aliyefanikisha kuanzishwa kwa Benki ya Kijamii Mwanga. Ikajulikana zaidi kama Benki…