Wajumbe wa Baraza Kuu la NSSF Wapatiwa mafunzo

 Na MWANDISHI WETU,Tanga. Wajumbe wa Baraza Kuu la 54 la Wafanyakazi wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), wakiongozwa na Mkurugenzi Mkuu, Bw. Masha Mshomba wamepatiwa mafunzo mbalimbali yaliyolenga kuongeza uelewa wa huduma wanazozipata kutoka NHIF, PSSSF, RITA, Kampuni Tanzu ya NSSF, Sisalana pamoja na elimu kuhusu afya ya akili. Mafunzo hayo yamefanyika…

Read More

MENEJIMENTI YA NCAA YAPATA MAFUNZO YA KUBORESHA UTENDAJI KAZI.

Kamishna wa Uhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) Dkt. Elirehema Doriye ameiongoza Menejimenti ya Mamlaka hiyo kupata mafunzo katika nyanja mbalimbali ili kuendana na mabadiliko ya Sayansi na teknolojia na kuongeza ufanisi katika utekelezaji wa majukumu ya taasisi kulingana na wakati. Mafunzo hayo yaliyofanyika kwa siku tatu jijini Arusha kuanzia tarehe 5-7 Mei,…

Read More

MADIWANI ARUSHA WAOFIA KUPIGWA MAWE KUTOKANA NA UBOVU WA MIUNDOMBINU YA BARABARA

Na Seif Mangwangi, Arumeru MADIWANI wa Halmashauri ya Wilaya ya Arusha wilayani Arumeru wamedai kuogopa kutembea hadharani wakihofia kupopolewa mawe na wananchi katika maeneo yao ya utawala kufuatia ubovu mkubwa wa barabara katika maeneo hayo uliosababishwa na mvua zinazoendelea kunyesha wilayani humo. Hayo yameelezwa Mei 7, 2025 na Mwenyekiti wa Baraza la Madiwani katika Halmashauri…

Read More

Walioula mikopo ngazi ya Diploma hadharani

Na: Mwandishi Wetu, Dar. Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa majina ya wanufaika wa mikopo ya elimu kwa ngazi ya Stashahada (Diploma) walioomba kwenye dirisha la mwezi Machi, 2025. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mtendaji wa HESLB, Dk. Bill Kiwia, kupitia Taarifa yake kwa Umma, Mei 05, 2025, ameeleza kuwa fedha…

Read More

Pluijm: Kwa Amankona Singida BS italamba dume

KOCHA wa zamani wa Yanga, Hans van der Pluijm ameisifu Singida Black Stars kumsajili mshambuliaji wa Berekum Chelsea ya Ghana, Stephen Amankona, akisema iwapo itafanikiwa kukamilisha dili hilo, basi itakuwa imelamba dume. Kocha huyo raia wa Uholanzi amewahi kufanya kazi Tanzania kwa zaidi ya miaka saba vipindi tofauti, anafahamu vyema aina ya wachezaji wanaoweza kufanya…

Read More

Pacome ampa mzuka Hamdi | Mwanaspoti

ALIANZA kurejea Khalid Aucho, lakini kambini Yanga mzuka umeongezeka baada ya nyota wengine wawili waliokuwa majeruhi, kiungo mshambuliaji Pacome Zouzoua na straika Kennedy Musonda kurejea mazoezini, jambo lililomfurahisha kocha Miloud Hamdi. Mastaa hao waliumia kwa nyakati tofauti, huku Aucho akipata jeraha la kuchanika misuli ya paja, ilhali Pacome aliumia katika mechi dhidi ya Azam na…

Read More

Berkane yatuma wanne Dar | Mwanaspoti

MAMBO yameanza kuchangamka baada ya RS Berkane ya Morocco itakayocheza na Simba katika mechi mbili za fainali za Kombe la Shirikisho Afrika kudaiwa kutuma watu wanne ili kuja nchini kuisoma ikila viporo vya Ligi Kuu Bara, ambapo leo jioni itaumana na Pamba Jiji, Uwanja wa KMC. Simba itaanzia ugenini kuvaana na Berkane Mei 17 kabla…

Read More

Nyuso za Kutokuwepo, Nyumba zilizoharibiwa – Wanafunzi wachanga hupaka maumivu ya Gaza – Maswala ya Ulimwenguni

Uchoraji wao na michoro zao zinatokana na picha ya mshairi anayethaminiwa wa Palestina na wanafamilia waliouawa kwa migogoro, angani iliyotiwa na moshi mzito – na mtoto analia mbele ya maiti ya mama yake. Picha mbaya kwa sasa zinaonyeshwa UnrwaShule ya remal katika Gaza City, ambayo imebadilishwa kuwa makazi. Ukumbusho na hasara Maonyesho hayo hutoa fursa…

Read More

Mambo Sita Simba v Pamba Ligi Kuu Bara

WAKATI Simba itakapokuwa mwenyeji wa Pamba Jiji katika mchezo wa Ligi Kuu Bara utakaochezwa Alhamisi hii kwenye Uwanja wa KMC Complex, Dar es Salaam, kuna mambo sita yanayopaswa kuangaliwa zaidi kutokana na takwimu zilivyo. Kwanza, je Simba itaendeleza mwendo wa kufunga angalau bao moja katika mechi 19 mfululizo za Ligi Kuu? Mara ya mwisho kushindwa…

Read More