TRA yakabidhi serikalini gari lililoingizwa kimagendo nchini
Songea. Meneja wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Mkoa wa Ruvuma, Nicodemas Mwakilembe, amekabidhi gari aina ya Isuzu kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, baada ya mmiliki wake kushindwa kulipa gharama ya Sh60 milioni ikiwa ni gharama za ushuru na adhabu ya kuingiza gari hilo nchini bila kufuata utaratibu wa forodha. Akizungumza wakati wa…