Wawili wafukuzwa Skauti kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha
Dar es Salaam. Chama cha Skauti Tanzania kimewafuta uanachama wakufunzi wake wawili, Faustine Magige na Festo Mazengo, kwa tuhuma za kukiuka katiba na sera za chama hicho, ikiwemo ubadhirifu wa fedha zinazohusiana na safari ya kimataifa ya watoto wa skauti. Taarifa hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Skauti Tanzania, Rashid Mchatta, leo Jumatano, Mei…