Kicheko wakulima wa kahawa TCB ikitangaza bei mpya elekezi

Moshi. Bodi ya Kahawa Tanzania (TCB) imetangaza bei elekezi ya zao la kahawa, kahawa ghafi ya Arabika (CPU-parchment) imepanda kutoka Sh10,000 iliyokuwepo msimu uliopita hadi kufikia Sh11,500 kwa kilo. Bei hiyo ya Sh11,500 kwa kilo ni kwa kahawa iliyochakatwa kwenye viwanda vidogo vilivyopo kwenye vyama vya ushirika (CPU) huku iliyochakatwa nyumbani (HP) bei yake ikipanda…

Read More

Simba yamganda kiungo Sfaxien | Mwanaspoti

MABOSI wa Simba wamemganda kiungo wa CS Sfaxien ya Tunisia, Balla Moussa Conte baada ya kufanya naye mazungumzo na sasa wanasikilizia uamuzi wa mwisho wa klabu anayoichezea ili atue Msimbazi msimu ujao. Simba ilimuona kiungo huyo katika mechi ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika ilipoichapa CS Sfaxien Kwa Mkapa kwa mabao 2-1 kisha kwenda…

Read More

Mbaroni akituhumiwa kumuua mtoto wake

Iringa. Jeshi la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia Joseph Mhilila (28), mkazi wa Mtaa wa Lukosi, Kata ya Mkwawa, Manispaa ya Iringa, kwa tuhuma za kumuua mtoto wake Timotheo Joseph mwenye umri wa miaka sita na kisha kuukatakata mwili wake vipande vidogovidogo alivyovitupa ndani ya tundu la choo kwa lengo la kuficha ushahidi. Kwa mujibu…

Read More

CCM yawakaribisha vigogo waliohama Chadema

Morogoro. Chama cha Mapinduzi (CCM), kimewakaribisha kwa mikono miwili makada waandamizi wa Chadema waliotangaza kukihama chama hicho kwa madai ya kuchoshwa na uongozi wa Tundu Lissu ulivyoshindwa kufuata misingi ya kuanzishwa kwa chama hich. Waliotangaza kujivua uanachama wa Chadema leo Jumatano Mei 7,2025 ni pamoja na Salum Mwalimu na Benson Kigaila waliokuwa manaibu katibu wakuu…

Read More

Serikali yajivua lawama ‘Kariakoo Derby’

Serikali imejiweka kando kwenye Dabi ya Simba na Yanga ikisema haiwezi kuingilia mipango ya mpira kwa kuwa inakiuka sheria za ligi. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Sanaa, Utamaduni na Michezo, Profesa Paramagamba Kabudi wakati akihitimisha hoja yake ya maombi ya fedha kwa mwaka 2025/26 ambapo ameomba Sh519.66 bilioni. Awali wabunge walipokuwa wkaichangia bajeti…

Read More