WAZIRI MKUU MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI MKUU WA JAPAN

…………….. _▪️Asema Japan itaendelea kuimarisha ushirikiano na Serikali ya Tanzania_ _▪️Aagiza tathmini ya barabara za Kibiti-Lindi na Morogoro-Dodoma_ WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amekutana na Waziri Mkuu wa Japan, Ishiba  Shigeru ambaye amemuhakikishia kuwa nchi hiyo itaendelea kuimarisha ushirikiano na Tanzania jambo ambalo linalenga kuchochea ukuaji wa uchumi kutokana na fursa zitakazoendelea kupatikana kupitia mahusiano hayo….

Read More

Mahakama yatengua uamuzi kumtimua Mbatia NCCR-Mageuzi

Dodoma. Mahakama Kuu ya Tanzania imefuta maamuzi ya kumfuta uanachama na kumuondoa James Mbatia katika nafasi ya uenyekiti wa taifa wa Chama cha NCCR-Mageuzi, ikisema maamuzi hayo yalikuwa batili kisheria. Mbatia alipotafutwa na gazeti hili kuzungumzia amepokeaje hukumu hiyo amesema “Ninaishukuru mahakama kwa kutenda haki. Siku zote nililalamika kuna ubatili katika uamuzi ule na leo…

Read More

IGP: Ni sinema ya kutengezwa, washiriki mbaroni

Moshi/Nairobi. Polisi nchini Kenya (NPS), limeeleza kuwa tukio la kutekwa kwa Mbunge wa Juja, George Koimburi, lilikuwa ni ‘sinema ya kutengenezwa’ na mbunge huyo na washirika wake na tayari magari yaliyohusika yamekamatwa. Taarifa iliyotolewa jana Mei 28, 2025 na Inspekta Jenerali wa NPS, Douglas Kanja Kirocho, imesema watu watatu zaidi ambao walishiriki mwanzo mwisho katika…

Read More

RIZIKI ACHUKUA FOMU UBUNGE MAFIA

RIZIKI Shahari Mngwali Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mafia. Riziki, akichukua fomu hiyo amesema kuwa matamanio yake ni kupambania maslahi ya watu wa kisiwa hicho pamoja na usafiri bora wa kuingia na kutoka pamoja na miondombinu ya ndani…

Read More

UN inawaheshimu walinda amani kwa kazi katika uwezeshaji wa kijinsia – maswala ya ulimwengu

Huko, kando na vitengo vya jinsia ya raia, Bi Syme alikutana na kikundi cha wanajamii wa eneo hilo – wanaume na wanawake. Kupitia, aligundua kitu kilikuwa tofauti. “Wanawake hawakuwa wanazungumza,” aliiambia Habari za UN. “Walikuwa kimya sana.” Kisha akakumbuka kuwa kanuni za kitamaduni ziliamuru wanawake hawazungumzi hadharani. “Sisi ni wanawake kama wewe. Tunataka kusaidia, lakini…

Read More