Mgunda aanza mipango mapema

KOCHA mkuu wa Namungo, Juma Mgunda ameipiga mkwara Yanga watakayokutana nayo Jumanne ijayo kwenye Uwanja wa KMC, Dar es Salaam akisema ameanza kusuka mipango kuhakikisha wanapata ushindi kwa mara ya kwanza dhidi ya wenyeji wao katika Ligi Kuu Bara.

Read More

Kilichomng’oa Kally Ongala KMC | Mwanaspoti

UONGOZI wa KMC umevunja mkataba na Kocha Mkuu, Kally Ongala kutokana na mwenendo mbovu wa kikosi hicho msimu huu katika Ligi Kuu tangu alipojiunga nacho Novemba 14, 2024. Taarifa kutoka katika timu hiyo, zimeliambia Mwanaspoti kuwa, Kally na viongozi wa kikosi hicho kwa sasa hawaelewani kutokana misuguano ya ndani kwa ndani, jambo linalochangia kufanya vibaya…

Read More

SERIIKALI YAKABIDHI HATI MBILI ZA MASHAMBA YA UMWAGILIAJI

Mkurugenzi Mkuu Raymond Mndolwa kulia akiwa na Katibu Tawala Mkoa wa Mara Gelard Kusaya ……………….. Serikali mkoani Mara imekabidhi hati mbili za shamba la umwagiliaji la Bugwema lililopo katika halmashauri ya Musoma vijijini kwa Tume ya Taifa ya  Umwagilaiji.  Mashamba hayo ni maalumu kwaajili ya kuanza ujenzi wa miundombinu ya shamba hilo ili liweze kutumika…

Read More

Mawasiliano ya simu yazimwa Vatican uchaguzi wa Papa mpya

Vatican. Mchakato wa kumpata Papa mpya ukianza leo Jumatano Mei 7, 2025 kwa misa, mawasiliano yote kwa njia ya simu na mitandao ya kijamii yatazimwa mjini Vatican. Uchaguzi unafanyika kufuatia kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21 akiwa katika makazi yake kwenye nyumba ya Mtakatifu Marta, Vatican. Kwa mujibu wa andiko la Padri Richard Mjigwa…

Read More

Ni bajeti ya CHAN, Afcon 2027

Ujenzi wa viwanja vya michezo, mazoezi, maeneo ya kupumzikia na changamani ya michezo yametafuna mabilioni katika makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo kwa mwaka 2025/26. Waziri wa wizata hiyo, Profesa Palamagamba Kabudi ameyasema hayo leo Mei 7, 2025 wakati akiwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake…

Read More