Utabiri umetimia, Sekretarieti ya Mbowe yameguka Chadema – Global Publishers
Katika kipindi ambacho Tanzania inaelekea kwenye uchaguzi mkuu mwishoni mwa mwaka huu, chama kikuu cha upinzani nchini, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimemeguka baada ya waliokuwa wajumbe wa sekretarieti na wajumbe wa kundi la G55 kutangaza Jumanne ya Mei 7, 2025 kujiondoa rasmi katika chama hicho. Hawakusema wanahamia chama gani. Hii inatokana na Chadema…