JAJI MFAWIDHI KANDA YA DAR ES SALAAM KUSIKILIZA MAOMBI YA KUONGEZA MUDA WA RUFAA KESI YA MFANYAKAZI WA BENKI
Na Mwandishi Wetu JAJI Mfawidhi wa Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam, Salma Maghimbi Juni 17 mwaka huu anatarajia kusikiliza maombi ya kuongeza muda wa kukata rufaa dhidi ya mfanyakazi wa benki Ibrahim Masahi, aliyeachiwa huru na Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni. Awali, ilidaiwa kuwa Masahi Januari 11, 2023 akiwa eneo la Mbezi…