NIKWAMBIE MAMA: Huu mtego wa panya uliomnasa ng’ombe

Nikikumbuka stori ya mtego wa panya huwa napata woga sana. Katika stori hii, panya anauona mnofu wa samaki aliotegewa. Anamwomba jogoo autegue ili apate riziki yake, lakini pia anatahadharisha kuwa mtego wa panya una hatari kubwa. Haumchagui panya pekee bali hunasa waliomo na wasiokuwamo. Jogoo anampuuza na kwenda na hamsini zake. Panya anamwendea mbuzi, lakini…

Read More

Miaka 11 ya ACT – Wazalendo kujenga msingi

Dar es Salaam. Miaka 11 kwa umri wa chama cha siasa, inasadifu utambulisho wa itikadi, sera na falsafa yake, ukuaji na kujenga imani kwa wananchi. Katika kipindi hicho, kwa mujibu wa wanazuoni wa sayansi ya siasa, aghalabu ni vigumu kwa chama cha siasa kushika hatamu ya uongozi, isipokuwa ni nyakati za kujenga msingi imara. Ukiacha…

Read More

Hiki hapa ‘kichinjio’ kwa watia nia CCM

Moshi. Ni kama vile wana kiburi na jeuri fulani, kwamba viongozi wa juu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wameonya juu ya kampeni za mapema zinazofanywa na wale wanaowania ubunge na udiwani 2025, lakini ni kama sikio la kufa. Huko kwenye majimbo na kata katika mikoa mbalimbali nchini, kuna moto unawaka ama chini kwa chini au…

Read More

Baraza la afya ya akili nchini mbioni kuundwa

Dodoma. Serikali iko mbioni kukamilisha mchakato wa kuanzisha baraza la afya ya akili na kwa sasa wanakamilisha vitu vichache. Naibu Waziri wa Afya, Dk Godwin Mollel ametoa kauli hiyo leo Jumatano Mei 7, 2025 ambapo amesema awali walikuwa na ahadi ya kuanzisha baraza hilo Mei mwaka huu, lakini kuna mambo hayajawekwa sawa. Dk Mollel amesema…

Read More

Hili jipya kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

Uchaguzi ni njia pekee ya kidemokrasia inayotumiwa na kikundi cha watu, jamii, au Taifa kuchagua viongozi wanaoaminiwa kuwaongoza kwa kipindi kilichokubaliwa kwa mujibu wa katiba au makubaliano ya kisheria na kijamii, iwe kwa maandishi au kwa mdomo. Hata hivyo, kuwepo kwa uchaguzi ni jambo moja na kuwa na uchaguzi huru na wa haki ni jambo…

Read More

Elimu ya watu wazima inavyookoa mabinti wanaokataliwa shule baada ya kujifungua

Dar es Salaam. Licha ya kuwapo mwongozo wa kuwarejesha shuleni wanafunzi, wakiwamo waliopata ujauzito imebainika wengi wanajiunga na mfumo usio rasmi, ikiwamo elimu ya watu wazima. Takwimu zilizochapishwa kwenye matokeo ya ufuatiliaji wa wasichana waliorejea shuleni baaada ya kujifungua uliofanywa na Shirika la Msichana Initiative uliotolewa Novemba 2024 zinaonyesha hadi kufikia Machi 2024, wasichana 22,844…

Read More

Ahueni bei za Petroli, dizeli zikipungua

Dar es Salaam. Hatimaye watumiaji wa vyombo vya moto watapata ahueni na kupungua kwa kiasi cha fedha wanachotumia katika kununua mafuta baada ya bei zitakazotumika katika Mei kushuka. Bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitaanza kutumika leo Jumatano, Mei 7, 2025 kwa mujibu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Mafuta…

Read More