Fadlu avujisha za Orlando, Tshabalala naye kumekucha
KOCHA Mkuu wa Simba, Fadlu Davids amefichua ujumbe alioupokea kutoka kwa mmoja wa maofisa wa juu wa Orlando Pirates ya Afrika Kusini baada ya kufuzu fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Timu hiyo imefuzu fainali mara ya kwanza tangu michuano hiyo ilipoasisiwa 2004 kwa kuunganishwa Kombe la CAF na la Washindi, na imepangwa kukutana na…