Waliolipwa fidia kupisha shoroba ya wanyama watakiwa kuhama mara moja
Serengeti. Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evance Mtambi, amewaagiza wananchi wa Kijiji cha Nyatwali, kilichopo Wilaya ya Bunda, kuondoka mara moja katika maeneo waliyokuwa wakiishi baada ya kulipwa fidia na Serikali, ili kupisha ushoroba wa wanyamapori wanaopita kuelekea Ziwa Victoria kutafuta maji. Akizungumza leo, Jumanne, Mei 6, 2025, katika kilele cha maadhimisho ya Siku…