Hospitali Kanda ya Mbeya yaboresha chumba cha upasuaji wa watoto
Mbeya. Katika jitihada za kuboresha huduma bora za afya, Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya imeboresha miundombinu na kufunga vifaa tiba vya kisasa kwenye chumba maalumu cha upasuaji wa watoto. Hatua hiyo inalenga kuboresha utoaji wa huduma bora za afya na kuleta matumaini mapya kwa watoto wanaohitaji huduma katika hospitali hiyo. Akizungumza na Mwananchi…