TARI SELIANI YAJA NA MKAKATI KUPAMBANA NA UDUMAVU NA UTAPIAMLO.
Wakulima wa mikoa ya Kanda ya Kaskazini wanaojishughulisha na kilimo cha maharage na mahindi wameshauriwa kutumia mbegu bora zilizofanyiwa utafiti, zenye wingi wa virutubisho ikiwemo madini ya chuma na zinki pamoja na vitamini A, kwa ajili ya kupambana na magonjwa mbalimbali yakiwemo utapiamlo, uoni hafifu pamoja na tatizo la udumavu ambalo limekuwa likiathiri asilimia kubwa…