Meridianbet Yaigusa Hospitali ya Palestina Sinza
IKIWA leo hii ni Jumamosi siku ya mwisho ya mwezi Mei, wakali wa ubashiri Meridianbet iliamua kufunga safari hadi hospitali ya Palestina Sinza kwaajili ya kutoa msaada kwa kina mama wanaojifungua. Katika tukio hilo la kugusa maisha, Meridianbet ilitoa pampers za watoto wachanga, mashuka mapya, na sanitizers kwa ajili ya kusaidia mazingira bora ya malezi…