Leseni 95 za madini hatarini kufutwa
Dar es Salaam. Huenda kampuni 95 zikapoteza leseni zake za uchimbaji wa madini nchini ndani ya siku 7 zijazo ikiwa zitashindwa kujieleza kwa nini wasifutiwe leseni zao ndani ya siku 30. Kampuni hizo zilipewa hati ya makosa ambayo inazitaka kujibu hoja za kutofutiwa leseni Aprili 14 mwaka huu ambazo zinatarajiwa kufikia tamati Mei 13, 2025….