Mastaa KenGold wapewa mchongo | Mwanaspoti

KOCHA wa KenGold, Omary Kapilima amesema ingawa hakuna kitu kitakachobadilika katika mechi tatu zilizosalia kumaliza msimu huu, lakini ni fursa kwa wachezaji kuonyesha viwango bora. KenGold ipo mkiani mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara ikiwa na pointi 16, ikitokea ikashinda mechi tatu dhidi ya Pamba Jiji, Simba na Namungo itafikisha pointi 25 ambazo haziwezi kubadilisha…

Read More

KESI YA LISSU: Hakimu atoa onyo, Lissu agomea tena mtandao

Dar es Salaam. Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeelekeza upande wa mashitaka kukamilisha haraka upelelezi katika kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Pia imeelekeza tarehe ijayo, upande wa mashitaka uje uieleze Mahakama hiyo upelelezi wa kesi hiyo umefikia hatua gani. Lissu anakabiliwa na shitaka moja la uhaini,…

Read More

Huu ndio udhaifu wa Fountain Gate, KenGold

UKIANGALIA takwimu za Ligi Kuu Bara msimu huu utagundua kwamba Fountain Gate ndiyo timu nyepesi zaidi kuruhusu mabao iwe uwanja wa nyumbani au ugenini. Timu hiyo yenye maskani yake Babati mkoani Manyara katika kuruhusu nyavu zake kutikiswa imepishana bao moja tu na KenGold ambayo tayari imeshuka daraja ikiwa na mechi tatu za kucheza. Kwa sasa…

Read More

Gazeti Mwananchi lashinda tuzo, Samia aahidi neema

Dar es Salaam. Gazeti la Mwananchi limeshinda tuzo ya gazeti linalopatikana kwa uhakika Tanzania, huku Julius Maricha wa The Citizen akishinda tuzo ya mwandishi bora wa habari za nishati safi ya kupikia. Tuzo hizo za Samia Kalamu Awards 2025 zilitolewa usiku wa Mei 5, 2025 na Rais Samia Suluhu Hassan, zikiwa zimeandaliwa na Chama cha…

Read More

UDSM yapiga mkwara, BDL kupingwa viwanja viwili

JOTO la ufunguzi wa Ligi ya Kikapu Mkoa wa Dar es Salaam (BDL) kati ya UDSM Outsiders na JKT linazidi kupanda kutokana na kumbukumbu ya ushindani uliotokea katika fainali ya mashindano hayo mwaka jana. Katika fainali hiyo JKT iliifumua UDSM katika michezo 3-1 ambapo katika mchezo wa kwanza JKT ilishinda pointi 67-62, ule pili UDSM…

Read More

Kushuka kwa ‘kutisha’ katika maendeleo ya wanadamu

Kwa miongo kadhaa, viashiria vya maendeleo ya binadamu vilionyesha kasi, zaidi ya watafiti na watafiti wa UN walitabiri kwamba ifikapo 2030, kiwango cha juu cha maendeleo kitafurahishwa na idadi ya watu ulimwenguni. Matumaini hayo yameondolewa katika miaka ya hivi karibuni kufuatia kipindi cha machafuko ya kipekee kama vile COVID 19 Ugonjwa – na maendeleo yamesimama…

Read More

CPA SULUO APONGEZA MAONO YA RAIS DKT. SAMIA KUPITIA FALSAFA YA 4R

:::::::: Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA), CPA Habibu Suluo, amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa uongozi wake thabiti unaoongozwa na falsafa ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, Rebuilding), akisema kuwa maono hayo yamechangia kwa kiasi kikubwa katika kuimarika kwa taasisi hiyo. Akizungumza katika semina…

Read More

Hivi ndivyo atakavyopatikana Papa mpya

Vatican. Makardinali kesho, Jumatano, Mei 7, 2025, wanaanza mkutano wa kumchagua Papa mpya baada ya kifo cha Papa Francis kilichotokea Aprili 21, akiwa katika makazi yake kwenye nyumba ya Mtakatifu Marta. Msemaji mkuu wa Ofisi ya Waandishi wa Habari ya Vatican, Dk Matteo Bruni, aliwaeleza wanahabari Jumatatu, Mei 5, kwamba makardinali wote 133 ambao ni…

Read More