Mambo 10 ACT Wazalendo ikitimiza miaka 11
Dar es Salaam. Chama cha ACT Wazalendo kimetaja maeneo 10 inayojivunia nayo kinaposherekea miaka 11 tangu kuanzishwa kwake huku kikisisitiza Serikali kutopuuza dai la Watanzania la uhitaji wa haki. Mbali na dai hilo, baadhi ya maeneo ambayo ACT Wazalendo imetaja kama mafanikio yake kwa miaka 11 ni kuongoza katika siasa za hoja, kujenga jukwaa mbadala…