JKU yaiweka pabaya New City ZPL
NEW City imekuwa timu ya tatu kuaga rasmi Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada kuchezea kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Maafande ya JKU katika mechi iliyopigwa jana Jumatatu usiku.
NEW City imekuwa timu ya tatu kuaga rasmi Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada kuchezea kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Maafande ya JKU katika mechi iliyopigwa jana Jumatatu usiku.
Dar es Salaam. Wakati kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo Jumanne, Machi 6, 2025, askari wa Jeshi la Polisi wametanda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na maeneo ya jirani. Kwa siku ya leo kwenye viunga vya Mahakama hiyo kunaonekana hakuna hekaheka ikilinganishwa na Aprili 24 na Aprili 28, 2025, Jeshi la Polisi…
Timu ya KMC ya Kinondoni, Dar es Salaam imeamua kuachana na kocha wake, Kally Ongala kutokana na mwenendo usioridhisha wa timu hiyo katika Ligi Kuu Tanzania Bara msimu huu.
Claver Gatete, Katibu Mtendaji, Tume ya Uchumi kwa Afrika. Mikopo: Busani Bafana/IPS na Busani Bafana (bulawayo) Jumanne, Mei 06, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BULAWAYO, Mei 06 (IPS) – Nchi nyingi za Kiafrika zinaonekana kama hatari ya mkopo na uwekezaji. Kama matokeo, wanalipa gharama kubwa za kukopa kuliko nchi zilizoendelea. Nchi za Kiafrika mara…
Dar es Salaam. Wakati kesi zinazomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu zikiendelea leo Jumanne, Machi 6, 2025, askari wa Jeshi la Polisi wametanda Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu na maeneo ya jirani. Kwa siku ya leo kwenye viunga vya Mahakama hiyo kunaonekana hakuna hekaheka ikilinganishwa na Aprili 24 na Aprili 28, 2025, Jeshi la Polisi…
Dodoma. Mbunge wa Momba (CCM), Condester Sichalwe ameibana Serikali akitaka kujua ni lini itaanza ujenzi wa barabara Moba hadi Lubumbashi (DRC) ambayo amesema ni muhimu na tegemeo la wafanyabiashara. Sichalwe leo Jumanne Mei 6, 2025 amehoji akitaka kujua mkakati gani unafanyika kwa makusudi ili kuondoa usumbufu ambao umekuwa ukiwapata wafanyabiashara wanapopitia Zambia, akisema imekuwa ni…
SHIRIKISHO la Soka Zanzibar(ZFF) limeanza kusaka timu nne zitakazopanda daraja kucheza Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) msimu ujao, ili kichukua nafasi ya zile zitakazoshuka katika Ligi hiyo ya juu ngazi ya klabu visiwani humu. Hatua ya mtoano wa Ligi Daraja la Kwanza Kanda ya Unguja imeanza jana Jumatatu kwenye Uwanja wa Mao A, kwa kuzikutanisha Sebleni…
NEW City imekuwa timu ya tatu kuaga rasmi Ligi Kuu Zanzibar (ZPL) baada kuchezea kipigo cha mabao 4-0 kutoka kwa Maafande ya JKU katika mechi iliyopigwa jana Jumatatu usiku. Mechi hiyo iliyopigwa kuanzia saa 1:50 usiku ilichezwa kwenye Uwanja wa Mao A, mjini Unguja na ilihitimisha rasmi safari ya New City inayoungana na Inter Zanzibar…
……………. 📌Ni kupitia Tuzo za Uandishi wa Habari za Samia Kalamu Awards 📌Wizara ya Nishati yatambua mchango wake 📌 Yamzawadia fedha taslimu, jiko linalotumia umeme kidogo, kompyuta mpakato na uniti za umeme za mwaka mmoja 📌 Mhandisi Mramba asema Tuzo ni kielelezo cha kuunga mkono juhudi za Rais Samia uhamasishaji Nishati Safi ya Kupikia. Nyamguma…
AZAM FC inaendelea kujifua kwa ajili ya mechi tatu za kumalizia msimu wa Ligi Kuu, lakini taarifa njema ni kwamba kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Feisal Salum ‘Fei Toto’ aliyekosekana katika mechi tatu zilizopita kutokana na kuwa majeruhi amerejea uwanjani na kuiwahi Dodoma Jiji. Azam imesalia mechi tatu dhidi ya Dodoma jiji iliyopangwa kupigwa Mei…