Pacome, Maxi washtua Yanga | Mwanaspoti
ACHANA na stori inayotrendi kwa sasa juu ya Yanga kugomea kucheza mchezo wa Dabi ya Kariakoo dhidi ya watani zao, Simba, ikisisitiza tena kwamba haina mpango wa kucheza mechi hiyo hata kama itapangwa na Bodi ya Ligi, lakini kuna mambo mbalimbali yanayohusiana na mastaa wa timu hiyo. Tayari Yanga imeshakata tiketi ya kucheza Ligi ya…