Matakwa yasiyokuwa na uhakika ya Kenya kufuatia mikutano ya wakati wa IMF/Benki ya Dunia – Maswala ya Ulimwenguni

Mifugo iliyokufa huko Bubisa, Kaunti ya Marsabit kwa sababu ya ukame wa muda mrefu: Mikopo: Pasca Chesach/Christian Aid Kenya Maoni na Janet Ngombalu (Nairobi, Kenya) Jumatatu, Mei 05, 2025 Huduma ya waandishi wa habari NAIROBI, Kenya, Mei 05 (IPS) – Janet Ngombalu ni Mkurugenzi wa Nchi ya Kenya, Ukristo Aidreflecting kwenye mikutano ya IMF/Benki ya…

Read More

Wakili aibua jambo kesi ya wanafamilia wa Balozi Rupia

Dar es Salaam. Wakili wa upande wa madai katika kesi ya wanafamilia wa John Rupia, Peter Madeleka ameibua jambo baada ya kudai mdaiwa katika kesi hiyo amefanya uharibifu kwenye nyumba inayobishaniwa kinyume na amri ya Mahakama. Kesi hiyo imefunguliwa Mahakama Kuu Divisheni ya Ardhi na John Robert Rupia dhidi ya baba yake mdogo, Stephen Thomas…

Read More

Hakielimu: Elimu ipewe asilimia 15 ya bajeti kuu

Dar es Salaam. Wakati bajeti ya Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia ikitarajiwa kuwasilishwa bungeni Mei 12 na 13, 2025, Taasisi ya Hakielimu imetoa mapendekezo matano ya kuwekewa nguvu ili kuleta ufanisi katika utoaji wa elimu nchini. Baadhi ya mapendekezo hayo ni pamoja na kuongeza bajeti ya sekta elimu kufikia angalau asilimia 15, iwe jumuishi…

Read More

Uchumi duni watajwa chanzo ongezeko magonjwa sugu kwa jamii

Mbeya. Imebainika kuwa ukosefu wa kipato kwa baadhi ya wananchi ni chanzo cha ongezeko la magonjwa sugu yasiyoambukizwa, kutokana na kukosa fedha kugharamia matibabu na kuzifikia huduma kwa wakati. Hatua hiyo imetajwa kusababisha baadhi ya wananchi wanaobainika na matatizo ya figo, ini, saratani, afya ya akili kufanyiwa uchunguzi wa maradhi hayo tatizo likiwa limeshakuwa sugu….

Read More

BALOZI KAGANDA AHIMIZA USHIRIKIANO KWA WATUMISHI WA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI ZIMBABWE

  Mwandishi Wetu Harare Zimbabwe. Balozi wa Tanzania Nchini Zimbabwe Mheshimiwa Suzan Kaganda, amewasili Nchini humo tayari kuanza majukumu yake katika Balozi hiyo huku akiwaomba watumishi kushirikiana ili kutimiza azima ya viongozi wa Nchi hizo mbili katika masuala mbalimbali. Ametoa kauli hiyo leo Mei 05, 2025, Jijini Harare wakati alipowasili kwa mara ya kwanza na…

Read More

Waliokumbwa na mafuriko Kigoma wasaidiwa

Kigoma. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kupitia Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), imekabidhi msaada wa kibinadamu kwa Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye, ili kuwasaidia wananchi waliokumbwa na mafuriko katika Manispaa ya Kigoma Ujiji. Mafuriko hayo yametokana na mvua kubwa zilizonyesha na yamesababisha uharibifu wa makazi na miundombinu ya…

Read More

CCM: Tumeupokea ushauri wa Warioba lakini…

Morogoro. Siku mbili baada ya Waziri Mkuu Mstaafu, Jaji Joseph Warioba kushauri kuweka meza ya mazungumzo kati ya Serikali, Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chadema ili kumalize tofauti zao kabla ya uchaguzi, CCM kimesema kinaupokea ushauri huo lakini hakiwezi kuutumia kwa sasa. Ushauri wa Jaji Warioba umepokelewa na Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa…

Read More