MKUTANO MKUBWA WA UWEKEZAJI KUFANYIKA JUNI 13 VISIWANI PEMBA

Na Mwandishi Wetu MKUTANO mkubwa wa uwekezaji utakaowakutanisha wawekezaji na wafanyabiashara mbalimbali kutoka nchi mbalimbali Afrika utafnyika, Pemba, Zanzibar kuanzia Juni 13 mpaka Juni 15 katika viwanja vya uwekezaji, Micheweni, Pemba mwaka huu. Awali mkutano huo ulipangwa kufanyika Mei 7 mwaka huu lakini waandaaji, Mamlaka ya Kukuza Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) imetangaza kuusogeza mbele mkutano huo…

Read More

Sh15 bilioni zitakavyohifadhi misitu asilia

Dar es Salaam. Misitu tisa kwenye mikoa mitano nchini itaboreshwa na mradi wa kuimarisha ustahimilivu wa Bioanuwai ya misitu ya mazingira asilia dhidi ya athari ya mabadiliko ya tabianchi. Misitu hiyo Pugu – Kazimzumbwi (Pwani),  mlima Hanang (Manyara), Pindiro na Rondo (Lindi), Uzigua (Pwani na Tanga), Mwambesi (Ruvuma), Essimingor (Arusha), Hassam Hills (Manyara) na Nou…

Read More

Mafuriko yakata mawasiliano Ulanga – Malinyi

Ulanga. Mvua za masika zinazoendelea kunyesha zimesababisha kukatika kwa barabara ya Ulanga -Malinyi baada ya mto Namuhanga kufurika na karavati lake kubwa kusombwa na maji eneo la Ilagua, hivyo kufanya barabara hiyo kushindwa kupitika kuanzia Mei 4 usiku hadi leo hii Mei 5, 2025. Barabara hiyo hadi sasa haipitiki na kufanya wananchi kuteseka na kutumia…

Read More

Maisha hatarini baada ya baadhi ya majimbo kujiondoa kutoka kwa makubaliano ya ardhi – maswala ya ulimwengu

Mfanyakazi wa halo de-madini huchunguza kwa uangalifu migodi huko Ukraine. Mikopo: Tom Pilston/Halo na Ed Holt (Bratislava) Jumatatu, Mei 05, 2025 Huduma ya waandishi wa habari BRATISLAVA, Mei 05 (IPS) – Kama safu ya majimbo ya Ulaya yakitangaza kujiondoa kutoka kwa makubaliano ya kimataifa ya kupiga marufuku mabomu ya wahusika, wanaharakati wanaonya maisha mengi yanaweza…

Read More

MFANYAKAZI BORA WA BARRICK BULYANHULU AMBAYE BIDII YAKE KATIKA KAZI IMEMWEZESHA KUKABIDHIWA ZAWADI NA RAIS SAMIA

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt .Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi na cheti Mfanyakazi bora wa mwaka 2025 wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Michael Lucas Weruma kwenye sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini Singida Mfanyakazi bora wa mwaka 2025 wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Michael Lucas Weruma akionyesha cheti alichotunukiwa na TUCTA wakati…

Read More

Hizi hapa faida kujifungulia kwenye maji

Shinganya. Mwanzilishi wa huduma ya kujifungulia kwenye maji Taifa, mkunga mtaalamu Agnes Ndunguru ameeleza faida ambazo humsaidia mama anayejifungua kwenye maji pamoja na mtoto, wakati huduma hii inapotimiza miaka mitatu tangu kuanzishwa nchini. Akizungumza leo Jumatatu Mei 05, 2025 mbele ya Mkuu wa Mkoa wa Shinyanga, Anamringi Macha katika maadhimisho ya siku ya wakunga duniani…

Read More