Aliyemnyonga mkewe kwa kamba ya kiatu ahukumiwa kunyongwa
Arusha. Mahakama Kuu Masjala Ndogo ya Dar es Salaam, imemuhukumu adhabu ya kunyongwa hadi kufa, Abel Stephano baada ya kumkuta na hatia ya kumuua mkewe Nuru Karim, kwa kumnyonga na kamba ya viatu. Licha ya Abel kukana mahakamani kutenda kosa hilo, alikiri kuwa yeye na mkewe (marehemu) walikuwa na ugomvi mdogo katika ndoa yake kwani…