Coastal Union yaanza na kiungo wa boli

WAGOSI wa Kaya, Coastal Union wameanza usajili wa kimya kimya kwa kuibomoa Ken Gold kwa kuamua kumsajili kiungo Kiala Lassa wa timu hiyo iliyoshuka daraja, ikiwa ni maandalizi ya msimu mpya wa 2025-26. KenGold, imeshuka daraja na msimu ujao itashiriki Ligi ya Championship kutokana na kutokuwa na mwenendo mzuri hadi sasa, ikiburuza mkiani na pointi…

Read More

Google kuja na ‘AI chatbot’ kwa watoto

Dar es Salaam. Kampuni ya teknolojia ya Google imesema ipo mbioni kuzindua programu ya Akili Mnemba ya mazungumzo (AI Chatbot) ya Gemini ambayo itakuwa mahususi kwa watoto walio chini ya miaka 13. Kwa mujibu wa The New York Times ya nchini Marekani toleo hilo itaanza wiki ijayo kwa watoto ambao akaunti zao za Google zinasimamiwa…

Read More

RC Mbeya aingilia kati sakata la Mdude, viongozi wa kimila…

Mbeya. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Dk Juma Homera amesema tayari amelielekeza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada za kuwatafuta wahusika waliomshambulia kada wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mdude Nyagali, huku akiahidi Sh5 milioni kwa atakayesaidia kumpata kada huyo alipo akiwa hai au amekufa. Hata hivyo, amesema pamoja na yeye kutojua tukio hilo, kwakuwa limetokea…

Read More

WAKULIMA WAIOMBA SERIKALI KUWEKA MITAALA YA KUFUNDISHA KILIMO IKOLOJIA KUANZIA ELIMU YA MSINGI

……………….. Na Ester Maile, Dodoma  Kamati  ya Kudumu ya Bunge   ya Viwanda,Biashara,Kilimo,Mifugo na Uvuvi imeombwa na wakulima wa Mikoa ya Singida na  Dodoma  kuishauri  Serikali kuweka mitaala ya kufundishia kuanzia elimu ya Msingi hadi Chuo Kikuu katika mazao ya Kahawa,Parachichi,Pamba,Viungo na Kokoa. Wakulima wametoa kauli walipokutana na kamati hiyo bungeni Jijini kupitia Mpango mkakati wa…

Read More

Makalla ziarani Morogoro, asisitiza amani na utulivu

Dar es Salaam. Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Amos Makalla ameanza ziara ya siku saba mkoani Morogoro yenye lengo la kuimarisha chama hicho tawala kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025. Katika ziara hiyo, Makalla ambaye ni mbunge wa zamani wa Mvomero mkoani humo, atatembelea wilaya za Morogoro Mjini, Malinyi,…

Read More

Meridianbet Yazindua “Gates of Olimpia” – Sloti Mpya ya Kipekee Kutoka Expanse Studios

  MERIDIANBET inayo furaha kubwa kutangaza uzinduzi wa mchezo mpya wa slot unaochukua wachezaji katika safari ya kimungu isiyosahaulika. “Gates of Olimpia”, kazi mpya ya kipekee kutoka kwa Expanse Studios, sasa inapatikana kwa wateja wa Meridianbet pekee. Ikiwa katika dunia ya hadithi za Kigiriki, Gates of Olimpia huleta uhalisia wa miungu wa kale kupitia picha za kuvutia,…

Read More