MICHAEL LUCAS WERUMA: MFANYAKAZI BORA WA BARRICK BULYANHULU

Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Dkt .Samia Suluhu Hassan akimkabidhi zawadi na cheti Mfanyakazi bora wa mwaka 2025 wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Michael Lucas Weruma kwenye sherehe za Mei Mosi zilizofanyika mjini SingidaMfanyakazi bora wa mwaka 2025 wa Mgodi wa Barrick Bulyanhulu Michael Lucas Weruma akionyesha cheti alichotunukiwa na TUCTA wakati wa…

Read More

Watano kortini wakidaiwa kumuua dereva bodaboda Geita

Geita. Watu watano wamefikishwa katika Mahakama Kuu, Masjala Ndogo ya Geita, wakikabiliwa na shitaka la mauaji ya kukusudia ya dereva bodaboda, Aloyce Deus (36), na kupora pikipiki yake. Washtakiwa hao ni Shukuru Yohana (34), Kulwa Deus (34), Nonga Adam (29), Cosmas Charles (29) na Shukrani Jumapili (30). Wanadaiwa kutenda kosa hilo kinyume na Kifungu cha…

Read More

Serikali yaja na mwarobaini kuporomoka majengo

Dodoma. Wizara ya Ujenzi imewasilisha bajeti yake kwa mwaka 2025/26 huku ikisema kutokana na kuporomoka kwa jengo la ghorofa nne Kariakoo jijini Dar es Salaam inatunga sheria ya majengo kwa ajili ya kusimamia sekta ndogo ya majengo nchini. Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega ameyasema hayo leo Jumatatu Mei 5, 2025 wakati akiwasilisha makadirio ya mapato…

Read More