JKT Tanzania V Simba… Patachimbika
SIMBA inarudi tena uwanjani kuvaana na maafande wa JKT Tanzania. Hicho ni kiporo cha pili kwa Wekundu wa Msimbazi Ligi Kuu Bara baada ya Ijumaa iliyopita kuanza kwa ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mashujaa, huku mechi ikiisha kwa matukio kadhaa yenye utata. Simba inayoshika nafasi ya pili na pointi 60, itakuwa wageni wa JKT…