UCHAGUZI MKUU 2025: Sababu za Kunje kuitaka Ikulu, kuwatumikia Watanzania
Dar es Salaam. Mgombea urais wa Tanzania, kwa tiketi ya Chama cha AAFP, Kunje Ngombale-Mwiru amesema kiu ya Watanzania kuwa na maendeleo ya kubadilisha maisha yao na itatimia baada ya chama hicho kushinda dola nay eye kuingia ikulu Oktoba 2025. Mteule huyo anayesubiri uteuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), kabla ya kuingia…