Wanafunzi 100 walazwa baada ya kula chakula chenye nyoka
India. Zaidi ya wanafunzi 100 wamelazwa hospitalini baada ya kula chakula kilichodaiwa kuwa na nyoka mfu mwishoni mwa juma, wakiwa shuleni nchini India. Kwa mujibu wa CBS News, Tume ya Haki za Kibinadamu ya India (NHRC) imesema inaendelea kuchunguza taarifa hiyo ingawa inaelezwa mpishi aliendelea kuwapatia chakula wanafunzi hata baada ya kumtoa nyoka huyo. Tukio…