Chamou atibua hesabu Simba | Mwanaspoti
KAMA utani hivi, beki wa kati Simba, Chamou Karaboue amebadili uamuzi wa mabosi wa klabu hiyo kutokana na kiwango chake, huku kocha wa kikosi hicho, Fadlu Davids akisema amefanikiwa kuwapa changamoto Che Malone Fondoh na Abdulrazack Hamza. Muivory Coast huyo ambaye alitua Simba msimu huu, alikuwa hana mwanzo mzuri kutokana na Che Malone na Hamza…