Biteko: Vijijini vyote vina umeme, ni zamu ya vitongoji
Tabora. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Doto Biteko amesema hadi sasa vijiji vyote nchini Tanzania vimepata umeme na Serikali inaanza kupeleka umeme katika vitongoji kwa kuanzia na vitongoji 20,000. Dk Biteko amesema hayo leo Jumamos, Mei 3, 2025, mkoani Tabora baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza nguzo…