Okoyo siyo soka tu hata gitaa freshi

KIUNGO wa kati wa KMC, Deusdedity Cosmas Okoyo amesema nje na kucheza soka ni mtaalamu wa kupiga gitaa linalomsaidia kumpa utulivu anapopata muda wa kupumzika baada ya mechi. Okoyo alisema endapo ndoto ya soka isingetimia, basi angekuwa mwanamuziki kwani ni kitu alichokuwa anakipenda tangu utotoni. “Zamani nilikuwa napenda kuimba sana, nikajifunza kupiga gitaa ambalo hadi…

Read More

THRDC yatoa Jacketi za usalama kwa Chama Wafanyakazi Waandishi JOWUTA

…………….. .Yamuomba Rais Maridhiano ya Kisiasa Mwandishi wetu,Dar es Saalam. MTANDAO wa Watetezi wa Haki za Binaadamu Tanzania(THRDC) umekabidhi jaketi za usalama kwa waandishi  wanachama wa Chama cha Wafanyakazi katika Vyombo vya Habari Tanzania(JOWUTA) huku ikimuomba Rais Samia Suluhu kurejesha maridhiano ya kisiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu. Makabidhiano ya Jaketi hizo,yamefanyika jana  katika hoteli ya Mbezi…

Read More

Jeshi la Polisi Zanzibar Latoa Hakikisho la Ulinzi kwa Wanawake, Vijana na Watu Wenye Ulemavu Katika Uchaguzi 2025

Nihifadhi Abdulla JESHI LA POLISI ZANZIBAR limezitoa hofu Asasi za Kiraia zinazoendelea kusimamia haki za Wanawake, Vijana na Watu wenye Ulemavu ZNZ ambapo limesema litaendelea kuhakikishia Haki, Ulinzi na Usalama kwa makundi hayo katika kipindi cha Uchaguzi Mkuu Mwaka huu 2025 zinalindwa kikamilifu. Kauli hiyo imetolewa na Kamishna wa Jeshi la Polisi Zanzibar, Khamis Kombo…

Read More

Meridianbet Yazindua Mashindano ya Kusisimua ya Expanse Slot, Zawadi Zaidi ya TZS Milioni 1 Zinasubiri

MERIDIANBET inakuletea Expanse Slot Tournament kuanzia 22 Aprili hadi 6 Mei 2025, fursa ya kipekee kwa wachezaji wote waliosajiliwa kwenye tovuti na App ya Meridianbet. Jiunge sasa kabla hujakosa nafasi yako ya kuwa mshindi mkubwa. Jinsi ya Kushiriki: Shindano hili linafanyika kupitia michezo ya Expanse Studios ambapo kila dau la TZS 3,000 linakupatia alama 10….

Read More

TBS YATOA RIPOTI MAFUTA YALIYOSABABISHA MADHARA YOMBO DOVYA

NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV  SHIRIKA la Viwango Tanzania (TBS), limebaini mafuta ya kupikia yaliyosababisha athari kwa  wakazi wa eneo la Yombo Dovya, Jijini Dar es salaam, yalikuwa yameharibika na ndani yake kubeba aina mbili za kemikali ambazo kitaalamu ni (E,E)2,4-Decadienal na decena. Kemikali hii hutokana na mafuta hayo kupikwa katika joto kali. Akizungumza na…

Read More