SERIKALI IPO TAYARI KUSHIRIKIANA NA WAANDAAJI WA TUZO ZA INJILI- DKT. MAPANA
Serikali imesema kuwa ipo tayari kushirikiana na waandaaji wa Tuzo za muziki wa injili Afrika Mashariki East Africa Gospel Awards,(EAGMA) ili kusaidia kufika mbali zaidi katika kuhakikisha vipaji vya wanamziki vinazidi kukua. Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Sanaa kutoka Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Dkt.Kalman Mapena wakati wa uzinduzi wa…