Ligi ya Championship vita imehamia huku

WAKATI Ligi ya Championship ikibakisha mzunguko mmoja utakaopigwa Mei 10 ili kuhitimisha msimu wa 2024-2025, tayari Mtibwa Sugar na Mbeya City zimepanda Ligi Kuu, huku ‘Wanajeshi wa Mpakani’, Biashara United wakishuka daraja. Mtibwa Sugar ilikuwa ya kwanza kupanda Ligi Kuu Bara ikiwa na mechi mbili mkononi, kabla ya Mbeya City kuungana nao pia baada ya…

Read More

Aucho akoleza mzuka Yanga | Mwanaspoti

KIKOSI cha Yanga kimesharejea jijini Dar es Salaam kikitokea Pemba, Zanzibar kilipoenda kushiriki michuano ya Kombe la Muungano na kuibuka mabingwa kwa kuifunga JKU kwa bao 1-0, huku kiungo wa timu hiyo, Khalid Aucho akikoleza mzuka. Kiungo huyo tegemeo raia wa Uganda, aliumia Aprili 7 katika mchezo wa Ligi Kuu dhidi ya Coastal Union ambapo…

Read More

Sababu tatu zilizoiangusha Yanga CAS

MABOSI wa Yanga inaelezwa jana waliitana na kujifungia ili kujadili hukumu ya kesi waliyoifungua Mahakama wa Kimataifa ya Usuluhishi ya Michezo (CAS), iliyotupiliwa mbali, huku zikitajwa sababu tatu zilizosababisha kesi kufutwa na ushauri waliopewa mabosi hao wa Jangwani. Yanga ilikimbilia CAS baada ya mechi ya Dabi ya Kariakoo dhidi ya Simba kuahirishwa saa chache kabla…

Read More

Waandishi wa habari huko Gaza wanashuhudia na wanapata athari mbaya – maswala ya ulimwengu

Bwana Shahada alipoteza mguu kwa sababu ya jeraha kubwa alilopata huko Nuseirat katikati mwa Gaza mnamo Aprili 2024, lakini alichukua kamera yake na akarudi kuorodhesha matukio ya kutisha ambayo yamekuwa yakitokea huko Gaza. Hataruhusu ulemavu wake kumzuia kufanya kazi. “Haiwezekani kwangu kuacha picha, hata ikiwa ninakabiliwa na vizuizi vyote,” alisema. Mbele ya Siku ya Uhuru…

Read More