IJUMAA ya leo ni siku nzuri ya wewe kuondoka na mshindo wa maana ambapo wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet wanakwambia hivi, ingia kwenye akaunti
Month: May 2025

Waandamanaji hukusanyika mbele ya Ikulu ya White House kwenye Pennsylvania Avenue mnamo 1966 kupinga Vita vya Vietnam. Mikopo: Chama cha Kihistoria cha White House na

Morogoro. Profesa mbobevu wa kemia kutoka Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo (SUA), Ndaki ya Sayansi Asili na Tumizi, Faith Mabiki amesema ipo haja ya

Na John Mapepele Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mhe. Mohamed Mchengerwa leo ameweka jiwe la msingi kwenye jengo la utawala la jiji

Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi, Dk Moses Kusiluka, amezitaka taasisi za Serikali na binafsi kuwaheshimu wakaguzi wa ndani na kuwekeza katika maendeleo yao ili kukuza mchango

NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, ameipongeza Kampuni ya Ujenzi na Ukarabati wa Miundombinu ya Usafirishaji na Usambazaji wa Umeme

SAFARI ya Inter Zanzibar na Tekeleza katika Ligi Kuu ya Zanzibar (ZPL), imefikia tamati jioni leo baada kufungwa mabao 4-0 na KVZ, huku Tekeleza nayo ikishuka

Dar es Salaam. Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (Nida) imewaonya wamiliki na watoa huduma wa ‘steshenari’ wanaotengeneza na kuchapisha Vitambulisho vya Taifa ikieleza kufanya hivyo

KONGAMANO la kwanza la kodi linatarajiwa kufanyika Mei 8, mwaka huu jijini Dar es Salaam litakalo wakutanisha watunga sera, wataalamu wa kodi, wafanyabiashara, na watafiti

……… MISA Tanzania imepokea Press Jackets toka Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu (THRDC) Kwa ajili ya usalama wa waandishi wa habari kuelekea uchaguzi