Biteko: Sekta ya nishati ipo salama chini ya Rais Samia
Dar es Salaam. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amesema ni lazima Watanzania wapate huduma bora ya umeme huku akimtaja Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kwa kuwa kinara katika kusukuma kufikiwa kwa malengo hayo. Dk Biteko amesema azma ya Serikali ni kuhakikisha Tanzania wanapata huduma bora katika sekta mbalimbali za kijamii…