Wachumi wachambua nyongeza ya mshahara ya Serikali
Dar es Salaam. Mei Mosi ya mwaka huu imeacha kicheko kwa maelfu ya watumishi wa umma baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kutangaza nyongeza ya kima cha chini cha mshahara kwa asilimia 35.1 kuanzia Julai mosi, 2025. Hii inakuwa mara ya pili kwa Samia kuongeza mshahara kwa kiwango kikubwa baada ya kuongeza kwa asilimia 23.3…