Fursa ya matibabu kwa wenye saratani, moyo, afya ya akili Mbeya
Mbeya. Kambi ya madaktari bingwa bobezi 58 kupitia programu ya Mama Samia, wanatarajia kuweka kambi ya siku tano katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Mbeya. Kambi hiyo itahusisha matibabu ya kitaalamu ya uchunguzi wa afya ya akili, upasuaji wa kibingwa, moyo, figo, saratani, mifupa na uchunguzi wa kina wa magonjwa ya wanawake. Mganga Mfawidhi wa…