Utafiti waleta matumaini mapya watoto wenye mahitaji maalumu

Dar es Salaam. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (Muhas) kimebaini watoto wanaozaliwa na changamoto katika ubongo wao, wanaweza kurudi katika hali ya kawaida iwapo watapatiwa mafunzo maalumu wakiwa chini ya umri wa miaka mitano. Katika utafiti walioufanya kwa watoto 23,000 waliozaliwa mwaka 2016 ambao walihusishwa katika utafiti huo, 500 walibainika kuzaliwa na…

Read More

UMOJA WA ULAYA WAIPA KONGOLE REA

-Kwa kuwa kinara katika kuhamasisha matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unaendelea kuhamasisha wananchi kutumia Nishati Safi ya Kupikia ili ifikapo mwaka 2034, asilimia 80 ya wananchi wawe wanatumia nishati safi ya kupikia kama inavyoelekezwa katika Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia 2024-2034. Hayo yameelezwa Mei…

Read More

NMB waziwezesha shule 15 Arusha vitanda na madawati

Benki ya NMB imenunua na kugawa vitanda, madawati, viti na meza vyenye thamani ya Shilingi milioni 125.2 katika shule 15 za Wilaya ya Arusha na Arumeru. Kati ya shule hizo zilizonufaika, 11 ni za Arusha Jiji ikiwemo shule za msingi Unga Limited waliopewa madawati 150, huku Baraa, Lemara, Sanawari, Elerai na Kijenge kila moja ikipata…

Read More

REA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA WIKI YA KITAIFA YA NISHATI JADIDIFU

-Elimu ya matumizi ya Nishati Safi ya Kupikia yaendelea kutolewa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) unashiriki maadhimisho ya Kitaifa ya Nishati Jadidifu yanayoratibiwa na Jumuiya ya Wadau wa Nishati Jadidifu Tanzania (TAREA). Kaulimbiu ya Maadhimisho haya ni ‘Kuwezesha Uendelevu: Kukuza Matumizi ya Nishati Jadidifu’ Katika maadhimisho haya, REA imepata fursa ya kuendelea kuhamasisha matumizi ya…

Read More

BI. RIZIKI ACHUKUA FOMU UBUNGE MAFIA

           ::::::: Riziki Shahari Mngwali Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ya kugombea ubunge katika Jimbo la Mafia. Bi. Riziki, akichukua fomu hiyo amesema kuwa matamanio yake ni kupambania maslahi ya watu wa kisiwa hicho pamoja na usafiri bora wa kuingia…

Read More

Utouh: Fedha za umma hazina itikadi za kisiasa

Dodoma. Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Ludovick Utouh amesema fedha za umma hazina itikadi za kisiasa na badala yake zinapaswa kuleta maendeleo kwa wananchi ambao ndiyo wamiliki wa rasilimali. Ametoa kauli hiyo leo Mei 28, 2025 jijini Dodoma katika ufunguzi wa mafunzo kuelekea utekelezaji mradi wa ‘Raia Makini’. Mradi huo…

Read More

Mwili wa Sheikh Jabir waokotwa, Polisi waeleza

Unguja. Wakati mwili wa Sheikh Jabir Haidar Jabir ukiokotwa ukiwa umetelekezwa, polisi wamesema haujakutwa na majeraha yoyote huku mazingira ulikokutwa hayakuonesha dalili zozote za vurugu, hivyo inawezekana alipata madhara sehemu nyingine na kupelekwa katika eneo hilo. Mwili wa Sheikh Jabir uliokotwa kando mwa barabara usiku wa kuamkia leo Mei 28, 2025 eneo la Kizimbani Bumbwisudi…

Read More