Afikishwa mahakamani kwa madai ya kumuua mkewe
Geita. Mkazi wa Kijiji cha Ilolangulu, Wilaya ya Mbogwe mkoani Geita, Samwel Lusaja (53) na mwenzake Masumbuko John (47), wamefikishwa katika Mahakama Kuu – Masjala Ndogo ya Geita, wakikabiliwa na tuhuma za mauaji ya Sophia Kaboja (60), ambaye anatajwa kuwa mke wa Samwel Lusaja. Kesi hiyo namba 8275/2024, imewasilishwa mahakamani kwa ajili ya kusikilizwa kwa…